Hiyo sera ikiongozwa na nani KWA MFANO huyo waziri wa utamaduni tu wanae hawajui chochote kuhusu utamaduni acheni masihara tumefika pabaya kila mtu ashinde mechi zake buanaWatanzania tupende vya kwetu
Jasiri haachi asili na mkataa kwao ni mtumwa.Hiyo sera ikiongozwa na nani KWA MFANO huyo waziri wa utamaduni tu wanae hawajui chochote kuhusu utamaduni acheni masihara tumefika pabaya kila mtu ashinde mechi zake buana
Kuna wengine tumesoma/wamedoma st. kayumba hivyo hivyo vitu ni mzigoWakiongea kiingereza wanakuwa kama watoto, hata hoja nzuri zinatoka kama za mtoto wa sekondari.
Lafudhi yao siyo shida ila ni jinsi walivyo slow. Hata misamiati, unaona kabisa kuwa huyu mtu ni masikini wa msamiati. Muone sasa anavyoongea lugha mama, anaonyesha kabisa ni mtu sharp. Msikilize Buhari akiongea. Kama mtu dumb.Nchi nyingi za ukanda wa Africa kiingereza chao uathiriwa na lugha mama zao , angalia kiingereza cha mnigeria ,mwafrika kusin ,Kenya hasa ukanda wa bara, kwa upande wa pwani ya Kenya wanaongea vyema sana, Tanzania kiingereza utamkwa kwa lafudhi ya kiswahili, Africa kusin lafudhi ya kizulu na Nigeria nao na lafudhi zao ,
Ila ukipata ukanda ambao aujaathiriwa na haya wallah utapenda kiingereza chao ,
Mtizamo wang
Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
Sio vitu vyao katika kutafuta utofauti sounds huja nyingine.Hata waliosoma toka shule za msingi. Umewahi kusikia kiingereza cha Wamalawi, wazambia? Msikilize Zuma au Ramaphosa. Wanasound kama watu fulani dumb hivi.
Wazungu, Hilo jina lilitokea wapi? Kwanini kila lao tinaliona Bora? Tutarajie katuni ya Superman shogaCheki waafrica wote. Wasouth, wakenya, wabongo, wazambia, wanigeria nk. Wakiwa wanaongea kiingereza wanaonekana kama watu wenye uelewa wa chini sana na slow learners. Cheki clips za bunge la South Africa, hadi maspika wanaonekana kama watu fulani wazito sana akilini, maskini wa misamiati nk. Hii lugha ya mkoloni imetushika pabaya sana.
Sidhani kama ni lafudhi, watu ni wavivu wa kujifunza matamshi kwa ufasaha, pamoja na grammar.Nchi nyingi za ukanda wa Africa kiingereza chao uathiriwa na lugha mama zao , angalia kiingereza cha mnigeria ,mwafrika kusin ,Kenya hasa ukanda wa bara, kwa upande wa pwani ya Kenya wanaongea vyema sana, Tanzania kiingereza utamkwa kwa lafudhi ya kiswahili, Africa kusin lafudhi ya kizulu na Nigeria nao na lafudhi zao ,
Ila ukipata ukanda ambao aujaathiriwa na haya wallah utapenda kiingereza chao ,
Mtizamo wang
Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu, kinachokufanya ukione kigumu ni metality yako tu. Ukishauacha mtazamo huu, the sky is the limit. You can learn anything and become a pro.Na ni kigumu hasa.
Ushawai kutana na waingereza wa kaskazin mwa London au Southampton!? Wanavyoongea ! Je ushakutana na warusi au waarab wakiwa wanaongea kiingereza!?Lafudhi yao siyo shida ila ni jinsi walivyo slow. Hata misamiati, unaona kabisa kuwa huyu mtu ni masikini wa msamiati. Muone sasa anavyoongea lugha mama, anaonyesha kabisa ni mtu sharp. Msikilize Buhari akiongea. Kama mtu dumb.
Sio kigum Wallah kiingereza ni chepesi sanaNa ni kigumu hasa.