Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Wanabodi,
Salamu ziwafikie wote.
Nia yangu sio mbaya, ila baada ya kutafakari na tafakuli ya muda mrefu na kushindwa kupata jawabu nimekuja kwenu.
1. Kujua asili ya watu weusi
2. Chanzo chao cha kuwepo duniani.
Hizi sababu nilizozitaja hapo juu, zimetokana na mambo mengi niliyoyawa sana.
1. Hulka zetu watu weusi:-
Nimefuatilia sana na kugundua watu weusi tuna mambo mengi yasio mazuri, mniuwie radhi sana sina nia mbaya kabisa ila nataka tujichunguze kwa kujionja wenyewe. Wapi tumezidi ili tujipunguze au wapi tumepungua, ili tujiongeze.
a) Utawala:-
Kwenye utawala watu weusi, tumepungukiwa na ukiasi, uvumilivu, ushilikishaji na ushilikishwaji, ukosoaji, ubaguzi, udugu, udini na ukabila( wa eneo ulilotoka).
b) Tamaa:- watu weusi tumekua na tamaa sana, hatulidhiki kabisa na tukipatacho au tulichonacho. Kabla ya kupata iwe nafasi mpya au kitu chochote kipya, basi tatigiza kila kitu ili tuonekane tunafaa na kuaminiwa. Lakini pindi tukipata, basi tunajionyesha ile asili yetu yote ya mwanzo.
Sitaki niwachoshe kwa maelezo mengi sana, lakini shida yangu sana ni kujua sisi tumetokea wapi kabla ya kuumbwa huu ulimwengu? Maana nimefuatailia biblia sana sijaona chimbuko la watu weusi, nimeingia sana kwenye Qur'an hadithi zote za mtume Mohammed SAW, sijaona hata chembe au nasaba za mtu mweusi, jamani mje tujigundue asili yetu, huenda tukajikwamua!!
Niwape mfano mdogo sana, ivi fikilieni kama makaburu wangekuwa waafrika, kweli wangemtoa Mandela? Au wangemruhusu agombee urais? Fikilieni muwe wa kweli muache unafki. Mfikilieni Rais Kabila, ameingia madarakani akiwa mtoto jamani, amekosa nini mpaka hataki kuondoka madarakani? Twende kwa Mseveni, au Kagame au baba yao Mugabe shida nini? Zambia walijaribu kidogo, ila kaja Mh Lungu anataka kuturudisha kule kule kwenye uafrika wetu. Naombeni jibu, wenye kujua, mimi nimekata tamaa kabisa na huu uafrika wangu.
Akhsanteni.