sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Oct 9, 2023 #1 Kweli hii ni laana kwetu waafrika, sio mitaani tu bali hata ndani ya ukoo, yaani mtu akiona umezidi kufanikiwa, kimbilio lake ni kutafuta mbinu ya kukushusha, ni aibu sana.
Kweli hii ni laana kwetu waafrika, sio mitaani tu bali hata ndani ya ukoo, yaani mtu akiona umezidi kufanikiwa, kimbilio lake ni kutafuta mbinu ya kukushusha, ni aibu sana.