Waafrika lini tutakua dona kantris, pamoja na wazungu kuteswa na Corona, hatuna aibu tunazidi kuwaomba misaada

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yaani ni kama uende kwa watu waliofiwa, badala uwafariji unawapokeza kibakuli cha msaada.
Nimeikuta hii inajadiliwa na Watz kule kwenye jukwaa la siasa, ila nikaona vyema tuijadili na huku JF Kenyan section.
Watu wanapiga vifua humu JF wakichekelea wazungu wanavyoteswa na kirusi na kufa kwa maelfu, ilhali kwa umaskini wa Kiafrika hatuoni aibu tunawazungushia kibakuli.

Tanzania yaomba Mkopo wa USD mil 198 kupambana na Corona. Yahisi hali mbaya ya kiuchumi - JamiiForums

2356624_FB_IMG_1585883783081.jpg
 
Kabla ya muzungu kuja Afrika hakuna jamii yoyote ya Kiafrika iliyokuwa ikiomba 'msaada' wowote kwa beberu.

Miaka ile ya kitambo mpaka leo vitukuu bado tunalaumu, kwani huyu mzungu alikuja Afrika tu, hakuenda Singapore na mataifa mengine.
 
kwa jinsi nilivyoaminishwa kuwa Tanzania ni 'dona kantrii' binafsi nimeshtuka sana. nilitarajia Tanzania kuwa katika mstari wa mbele kuyakomboa mataifa ya Kiafrika yaliyokumbwa na hili janga.
Watanzania muna dhiki sana wallahi.
 
Kwa Jinsi nilivyoaminishwa kuwa Kenya ni Mido inkamu binafsi nimeshtuka sana kuona inazungusha bakuli duniani kote kuomba hela za kupambana na Nzige na Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania mumebobea katika hili la kuombaomba. Hata msibani pia munaenda kutembeza bakuli?!?! mumeniacha hoi, kinywa wazi...
punguzeni bana.
 
Hilo halinihusu, nachojua ni kuwa Kenya ndiyo mido inkamu pekee duniani knayozunguka duniani kuomba hela za Nzige na Corona kwa Wazungu
Halafu kuna haja gani kutumie hela nyingi kwenye Elimu ikiwa wataalamu wenu wameshindwa hata kuanzisha miradi ya Kilimo na kufanya Kenya kutegemea chakula cha msaada hadi leo?
Hku hela bajeti yetu ya elimu ni zaidi ya hyo hela unayoiongelea...
Akili mali aisee..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanze kwanza na nchi ya manyang'au ambayo inasemekana no middle income,kirinyaga
 
Hilo halinihusu, nachojua ni kuwa Kenya ndiyo mido inkamu pekee duniani knayozunguka duniani kuomba hela za Nzige na Corona kwa Wazungu
Halafu kuna haja gani kutumie hela nyingi kwenye Elimu ikiwa wataalamu wenu wameshindwa hata kuanzisha miradi ya Kilimo na kufanya Kenya kutegemea chakula cha msaada hadi leo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnaomba omba mpaka kwenye misiba, nyie ni shughuli kwa kweli!!!
 
Yaani ni kama uende kwa watu waliofiwa, badala uwafariji unawapokeza kibakuli cha msaada.
Nimeikuta hii inajadiliwa na Watz kule kwenye jukwaa la siasa, ila nikaona vyema tuijadili na huku JF Kenyan section.
Watu wanapiga vifua humu JF wakichekelea wazungu wanavyoteswa na kirusi na kufa kwa maelfu, ilhali kwa umaskini wa Kiafrika hatuoni aibu tunawazungushia kibakuli.

Tanzania yaomba Mkopo wa USD mil 198 kupambana na Corona. Yahisi hali mbaya ya kiuchumi - JamiiForums

2356624_FB_IMG_1585883783081.jpg

ni nchi gani iliyoombwa huo msaada?
hujui hizo WB sijui IMF ni taasisi za umoja wa mataifa ni saccos za nchi zote duniani ambapo hakuna mmiliki mwenye haki ya kuomba pesa kuliko mwenzake, sema ni hiyo tuu watu wameamua kutoa siri za ndani lakini nchi nyingi za afrika zimeomba msaada kwenye hizo saccos za dunia mpaka wale wanaojiita middle country

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni kama uende kwa watu waliofiwa, badala uwafariji unawapokeza kibakuli cha msaada.
Nimeikuta hii inajadiliwa na Watz kule kwenye jukwaa la siasa, ila nikaona vyema tuijadili na huku JF Kenyan section.
Watu wanapiga vifua humu JF wakichekelea wazungu wanavyoteswa na kirusi na kufa kwa maelfu, ilhali kwa umaskini wa Kiafrika hatuoni aibu tunawazungushia kibakuli.

Tanzania yaomba Mkopo wa USD mil 198 kupambana na Corona. Yahisi hali mbaya ya kiuchumi - JamiiForums

2356624_FB_IMG_1585883783081.jpg
Naombeni kuuliza, kwani Neno mkopo na msaada vina maana moja???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom