Kabla ya muzungu kuja Afrika hakuna jamii yoyote ya Kiafrika iliyokuwa ikiomba 'msaada' wowote kwa beberu.
kwa jinsi nilivyoaminishwa kuwa Tanzania ni 'dona kantrii' binafsi nimeshtuka sana. nilitarajia Tanzania kuwa katika mstari wa mbele kuyakomboa mataifa ya Kiafrika yaliyokumbwa na hili janga.
Watanzania muna dhiki sana wallahi.
Hku hela bajeti yetu ya elimu ni zaidi ya hyo hela unayoiongelea...Kwa Jinsi nilivyoaminishwa kuwa Kenya ni Mido inkamu binafsi nimeshtuka sana kuona inazungusha bakuli duniani kote kuomba hela za kupambana na Nzige na Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania mumebobea katika hili la kuombaomba. Hata msibani pia munaenda kutembeza bakuli?!?! mumeniacha hoi, kinywa wazi...Kwa Jinsi nilivyoaminishwa kuwa Kenya ni Mido inkamu binafsi nimeshtuka sana kuona inazungusha bakuli duniani kote kuomba hela za kupambana na Nzige na Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hku hela bajeti yetu ya elimu ni zaidi ya hyo hela unayoiongelea...
Akili mali aisee..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo halinihusu, nachojua ni kuwa Kenya ndiyo mido inkamu pekee duniani knayozunguka duniani kuomba hela za Nzige na Corona kwa Wazungu
Halafu kuna haja gani kutumie hela nyingi kwenye Elimu ikiwa wataalamu wenu wameshindwa hata kuanzisha miradi ya Kilimo na kufanya Kenya kutegemea chakula cha msaada hadi leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni kama uende kwa watu waliofiwa, badala uwafariji unawapokeza kibakuli cha msaada.
Nimeikuta hii inajadiliwa na Watz kule kwenye jukwaa la siasa, ila nikaona vyema tuijadili na huku JF Kenyan section.
Watu wanapiga vifua humu JF wakichekelea wazungu wanavyoteswa na kirusi na kufa kwa maelfu, ilhali kwa umaskini wa Kiafrika hatuoni aibu tunawazungushia kibakuli.
Tanzania yaomba Mkopo wa USD mil 198 kupambana na Corona. Yahisi hali mbaya ya kiuchumi - JamiiForums
Naombeni kuuliza, kwani Neno mkopo na msaada vina maana moja???Yaani ni kama uende kwa watu waliofiwa, badala uwafariji unawapokeza kibakuli cha msaada.