TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Dalili za mvua ni mawingu. Picha inaeleza kila kitu.
Kwa mara ya kwanza Timu kutoka Afrika kufika fainali kombe la dunia mwaka huu 2018.
Usikose fainali za mwaka huu 2018.
But First, Let Me Take a Selfie! World Leaders Getting Snapped
Ndiyo, niliwambia humu JF kuwa Trump atakuwa rais wa US, nikabishiwa sana. Baadaye, Trump akawa rais wa US. Kwa maani hiyo, sioni kwa nini Timu ya Afrika isifike fainali mwaka huu.ukiongea tu imekuwa?
Safari hii watashindwa kutuonea.Tatizo ni marefa noma sana hao.
ulisema alipokuwa amepata tiket ktk chama chake au kabla?Ndiyo, niliwambia humu JF kuwa Trump atakuwa rais wa US, nikabishiwa sana. Baadaye, Trump akawa rais wa US. Kwa maani hiyo, sioni kwa nini Timu ya Afrika isifike fainali mwaka huu.
Baada ya kubaki wawili kati yake na HCulisema alipokuwa amepata tiket ktk chama chake au kabla?
Safari hii watashindwa kutuonea.
Tunatarajia mambo haya baadaye huko Russia kuanzia mwezi wa sita mwaka huu.
Cameroon haiendi Russia, ni Senegal atawakilisha. Hata hivyo tusubiri tuone, mwaka wetu huu Afrika.Na hata Cameroon kwa mbaali.
Cameroon haiendi Russia, ni Senegal atawakilisha. Hata hivyo tusubiri tuone, mwaka wetu huu Afrika.
===
Group H of the 2018 FIFA World Cup will take place from 19 to 28 June 2018. The group consists of Poland, Senegal, Colombia, and Japan.
Sorry mkuu! Ni senegal aise...dah mbele ya col na Poland anakibarua kigumu sana..tumuombee kwakweli