Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Wa Nigeria kadhaa wamekwama Jijini Moscow tangu Final za world cup kwisha siku ya Jumapili.
Wa Nigeria hao wameonekana kuzagaa katika Ofisi za ubalozi wao ulioko Jijini Moscow na wengine kadhaa wamekwama uwanja wa ndege wa Moscow.
Duru za Habari zinasema wa Nigeria hao walinunua FAN ID kwa ya Naira 250,000 sawa na USD 700 ili kwenda kuangalia michuano ya WC nchini Russia.
Tayari Rais Bukhar wa Nigeria ameingilia kati mkwamo huo na kuamuru serikali yake ifanye taratibu za kuwarudisha nchini Nigeria.
Chanzo: TBC