Waafrika tuanzeni Kujifunza kujiandaa Kisaikolojia kwa Majanga makubwa Matatu kama haya yafuatayo....

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Ukisikia kuna AJALI KUBWA imetokea mahala popote Barani Afrika jueni ni jambo la Kawaida tu na Umakini uongezeke ili Kuepuka na zingine mbeleni.

2. Ukisia kuna MWANDAMIZI ( KIONGOZI ) yoyote au MTU MAARUFU yoyote yule ana ANAUGUA sana au hata AMEFARIKI ( hapa Barani Afrika ) wala usishtuke kwani CHANGAMOTO hizo kwa Binadamu ni za Kawaida na za lazima tu.

3. Ukisikia Timu yako pendwa ya Yanga SC imefungwa Magoli Saba kwa Sifuri ( 7 - 0 ) na Simba SC tarehe 8 May, 2021 wala usiumie kivile kwani kama Kafungwa Mwarabu ( Al Ahly ) na Simba SC hao Yanga SC ni nani Wasifungwe?

Nasisitiza Kujiandaa Kisaikolojia kwa Jambo lolote lile duniani ni jambo sahihi kuliko kutojiandaa halafu ukasikia Taarifa mbaya yoyote ya Mambo yangu Tajwa tu matatu hapo juu. Wanasaikolojia nchini Tanzania jikiteni zaidi katika Kuwajenga vyema Watu na lolote litakalojiri basi walipokee na lisiwaumize.
 
Wakumbushe pia.
IMG-20210313-WA0006.jpg
 
Na ukisikia Simba mwaka wa pili huu haijawah mfunga Tanzania prison jua n kawaida TU kwan ile n timu ya.jeshi inacheza mpira wa kaz
Na ukisikia #2 imekuwa #1 na #1 imepumzishwa huku #3 ikapanda hadi #2 wala Waafrika msishtuke kwani ni Mabadiliko tu ya namba hayo na Maisha yataendelea tu.
 
1. Ukisikia kuna AJALI KUBWA imetokea mahala popote Barani Afrika jueni ni jambo la Kawaida tu na Umakini uongezeke ili Kuepuka na zingine mbeleni.

2. Ukisia kuna MWANDAMIZI ( KIONGOZI ) yoyote au MTU MAARUFU yoyote yule ana ANAUGUA sana au hata AMEFARIKI ( hapa Barani Afrika ) wala usishtuke kwani CHANGAMOTO hizo kwa Binadamu ni za Kawaida na za lazima tu.

3. Ukisikia Timu yako pendwa ya Yanga SC imefungwa Magoli Saba kwa Sifuri ( 7 - 0 ) na Simba SC tarehe 8 May, 2021 wala usiumie kivile kwani kama Kafungwa Mwarabu ( Al Ahly ) na Simba SC hao Yanga SC ni nani Wasifungwe?

Nasisitiza Kujiandaa Kisaikolojia kwa Jambo lolote lile duniani ni jambo sahihi kuliko kutojiandaa halafu ukasikia Taarifa mbaya yoyote ya Mambo yangu Tajwa tu matatu hapo juu. Wanasaikolojia nchini Tanzania jikiteni zaidi katika Kuwajenga vyema Watu na lolote litakalojiri basi walipokee na lisiwaumize.
mmekosa sera, mmeishiwa, mmebaki na sera za kutangaza vifo na watu wanaoumwa.
 
Uzi wa uchochezi
 
Hiyo namba 2 mbona maneno yenye herufi kubwa ni mengi zaidi kuliko 1 na 3?
 
Back
Top Bottom