Waafrika Tuko Creative Sana!!

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Picha zifuatazo zinaonyesha kuwa waafrika tuna creativity ya hali ya juu sana; hebu fuatilia halafu utoe maoni yako​









(Hii ni system ya kupata maji ya moto bombani)​













(Ndafu hii huwezi kuipata popote duniani)​

















 
Tunatisha! Picha ya pili sio Afrika lakini. Na saba za mwisho sijaelewa
 
Hakika tupo matawi ya juu twafanya lisilowezekana. Tatizo linaloturudisha nyuma ni huu utandawazi maana tunazoea kuiga vya wenzetu.
 
Siku zote uwa naamini kuwa sie ni noma,ila kuna kitu tunakosa ambacho siku tukija kukipata hata wazungu wenyewe watatuvulia kofia.Hiyo picha ya system ya kupata maji ya moto imenikosha sana,jamaa ni lazima atakuwa amesoma boding tuu kwa hilo nina uhakika.
 
Haya, nime-update picha zile pale juu kwa kuongeza picha zinzoonyesha creativy zaidi. Halafu nikaona inongeze hizi zinazoonyesha negatives zetu pia:​




Ukiwa mgeni ukakutana na daladala hilo utajua kuwa linakwenda Mburahati hata kama linakwenda linakwenda Mwenge.​





Akina dada zetu wengi siku hizi wamejifunza kuwa ili wapate raha lazima wafurame. Picha zote zinazoletwa na Michuzi kutoka kumbi mbalimbali za muziki hapo Dar zinaonyesha hivyo.​


Badala ya kufanya kazi za maana, waafrika tunaweza kutumia muda mwingi na zana za kazi kufanya mambo ya kipuuzi tu.​
 
Pale Uwanja wa Taifa, si lazima kutoa kiingilio kila mechi. Siku moja moja geti linavunjwa na watu wanaingia bure !!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…