Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
vita ya kikanda ya inayopiganwa ulaya iliitwa vita ya dunia
vita ya pili nayo inajumuishwa kuwa ni ya kidunia
mikataba wanayotunga wao inajulikana kama mikataba ya kimataifa
huku kwetu tukipigana kidogo wanaingilia kati ila kwao wanatafuta upande wa kujiweka huku wanasapoti vita.
tunachofeli zaidi kuna wavaa makobazii na wavaa pempasi wa yombo bado wanashabikia vita.