Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Over the Weekend,timu ya soka ya ufaransa imetrend kwa kuchukuwa kombe la dunia baada ya miaka 20 kupita,walivyofanya hivyo mnamo mwaka 1998..
Waafrika wengi wamekuwa mstari wa mbele kuiaminisha dunia kuwa watu wote weusi tunaweza,no matter unatokea bara gani..swala ambalo naliona haliko sawa..kwanini??
Sababu tu ni kwamba Wachezaji weusi wa ufaransa wote wamezaliwa ufaransa kasoro Umtiti,ambaye amezaliwa cameroon..Hawa wamekulia kwenye mazingira wezeshi na kuwa watu ambao tactically,mentally wanaact kama watu wa dunia ya kwanza..inshort hawana sifa za watu wanaopatikana africa..
Sisi waafrika bado tupo nyuma sana na sio vizuri kudandia dandia tu vitu kwa mbele,ni wakati tujitafakari mifumo yetu..serikali ipambane jamii ziondokane na njaa,kwani jamii zenye njaa hata utendaji wao kiakili unakuwa mdogo..
Pia tuchukuwe hili swala la Ufaransa kama ni kwamba wametuumbua..Angalia mfano timu ya Nigeria,almost wachezaji wote wanacheza vizuri ulaya kwa sababu wanachanganyikana na damu za kizungu,ila wakiwa wenyewe wanarudi kwenye Uafrika wao wa asili(kutokumakinika kwenye jambo unalolifanya,hata kama uwezo upo)
Naamini tunaweza kufanya makubwa sisi kama waafrika,ila pale tu ambapo mifumo yetu mbalimbali itafanywa ya kuenda na wakati..Pili serikali za kiafrika naona zipambane pia kupunguza njaa kwa jamii zake,Wananchi wakiweza kupata milo kamili tokea utotoni,tunaweza kufanya makubwa..tofauti na hapo tutaendelea kudandia tu wenzetu wenye ngozi NYEUSI waliopo ULAYA.
Nawasilisha..