Waafrika tunashangilia nini Ufaransa kuwa bingwa??

Kweli Uzezeta...unapowaona mazezeta wanaoshangilia Ufaransa huku wewe unaemshangilia Mbape ukijiona una akili timamu.Toa picha ya Mbape weka hata ya Sammata kwa dp yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu ndo zezeta namba moja
 
Sijakuelewa mleta mada, ulitaka waafrika washabikie Croatia au?

Kwenye suala la ushabiki kila mtu ana vigezo vyake vya kushabikia. Kama ameamua kushabikia kwa ajili ya rangi, kiwango kizuri cha kucheza n.k,

Usilazimishie watu mawazo mkuu.
Ushangiliaji niliouzungumzia hapa ni kama wa Wakenya kwa Obama..nahisi utakuwa umenipata sasa
 
Hata Mimi sijafurahia ushindi wake Wa kubebwa na referee
 
Tuna shobo tunaboa sana.
mimi binafsi nmeshabikia ureno na croatia
yani sinaga icho kitu cha kusema Oh timu fulani ina watu weusi ndo nishabikie...Hell No!!!

unakuta mtu eti ooooh wametuwezesha! wamewawezesha wapi enyi viumbe msiojiamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hatuwakatazi kushabikia ila mnaboa sasa
 
Sijakuelewa mleta mada, ulitaka waafrika washabikie Croatia au?

Kwenye suala la ushabiki kila mtu ana vigezo vyake vya kushabikia. Kama ameamua kushabikia kwa ajili ya rangi, kiwango kizuri cha kucheza n.k,

Usilazimishie watu mawazo mkuu.
Nashangaa mtoa Mada anaongelea kitu cha ajabu .. Hii ni michezo na katika michezo kila mtu anashabikia kwa kile anachokipenda ...Labada we Ulitakaje Yani?
 
Nje ya mada,ila Pogba linasifa asee sijapata ona!

Ni manini alikuwa anafanya walipokabidhiwa kombe?
Anapenda showbizz( kuongelewa ) ndo maana hatulii kama wenzake
 
Nashangaa mtoa Mada anaongelea kitu cha ajabu .. Hii ni michezo na katika michezo kila mtu anashabikia kwa kile anachokipenda ...Labada we Ulitakaje Yani?
Kwenye mada yangu nimeongelea michezo kwa ufupi sana..pointi yangu ni waafrika kusema kuwa timu ya ufaransa kwa asilimia kubwa ni waafrika,,na sio kushabikia as kama watu wanavyoshabikia timu nyingine
 
kwa jicho la ndani sana utagundua dunia ingekuwa na uwanja mpana wa haki za kimahitaji kuheshimiana na kukubali kila mtu kutumia alichojaliwa kihaki katika dunia tuna jambo la kujifunza.kila jamii iiache jamii nyingine ifanye jambo kihalali kwa kutumia uhuru wa kweli,nahakika waafrika wangeweza kufanya jambo.mwafrika ni mjinga halikataliki hili ila katika jamii ya kuundiana hata virusi vya maradhi nadhani safari bado ndefu.
 
Kweli kabisa..
 
Kwenye mada yangu nimeongelea michezo kwa ufupi sana..pointi yangu ni waafrika kusema kuwa timu ya ufaransa kwa asilimia kubwa ni waafrika,,na sio kushabikia as kama watu wanavyoshabikia timu nyingine

Mkuu nini maana ya mwafrika?
 
Nashangaa mtoa Mada anaongelea kitu cha ajabu .. Hii ni michezo na katika michezo kila mtu anashabikia kwa kile anachokipenda ...Labada we Ulitakaje Yani?

Atakuwa alikuwa anashabikia Croatia huyo jamaa,
 
Tumezoea kujipende

Anyway kwa niaba ya wachezaji weusi wa team ya ufaransa..Tanzania tunajipongeza kwa kupata kombe
 
Mtu anaweza kushangilia ukweli ulioanikwa kwamba Waafrika hawana mapungufu ya kiasili kama wakipatiwa maandalizi mema wanaweza kufanya mambo makubwa.

Kwamba mapungufu yetu yanatokana na kukosa maandalizi tu.

Hilo nalo si jambo dogo.
 
True mkuu
 
Ndo utajua kua matatizo yetu africa sio rangi tuliyonayo wala mazingira tuliyonayo bali AKILI.tukishabadilisha akili zetu tunaweza.
 
Mtu mweusi ni mtu wa tofauti na mwenye uwezo mkubwa sana kwenye kila idara duniani ila tu yote yanayoendelea yalishaandikwa na kutabiriwa...! Hivyo hatuwezi kubadili chochote mpka hapo Muda utakapofika...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…