[emoji122][emoji122][emoji122]Over the Weekend,timu ya soka ya ufaransa imetrend kwa kuchukuwa kombe la dunia baada ya miaka 20 kupita,walivyofanya hivyo mnamo mwaka 1998..
Waafrika wengi wamekuwa mstari wa mbele kuiaminisha dunia kuwa watu wote weusi tunaweza,no matter unatokea bara gani..swala ambalo naliona haliko sawa..kwanini??
Sababu tu ni kwamba Wachezaji weusi wa ufaransa wote wamezaliwa ufaransa kasoro Umtiti,ambaye amezaliwa cameroon..Hawa wamekulia kwenye mazingira wezeshi na kuwa watu ambao tactically,mentally wanaact kama watu wa dunia ya kwanza..inshort hawana sifa za watu wanaopatikana africa..
Sisi waafrika bado tupo nyuma sana na sio vizuri kudandia dandia tu vitu kwa mbele,ni wakati tujitafakari mifumo yetu..serikali ipambane jamii ziondokane na njaa,kwani jamii zenye njaa hata utendaji wao kiakili unakuwa mdogo..
Pia tuchukuwe hili swala la Ufaransa kama ni kwamba wametuumbua..Angalia mfano timu ya Nigeria,almost wachezaji wote wanacheza vizuri ulaya kwa sababu wanachanganyikana na damu za kizungu,ila wakiwa wenyewe wanarudi kwenye Uafrika wao wa asili(kutokumakinika kwenye jambo unalolifanya,hata kama uwezo upo)
Naamini tunaweza kufanya makubwa sisi kama waafrika,ila pale tu ambapo mifumo yetu mbalimbali itafanywa ya kuenda na wakati..Pili serikali za kiafrika naona zipambane pia kupunguza njaa kwa jamii zake,Wananchi wakiweza kupata milo kamili tokea utotoni,tunaweza kufanya makubwa..tofauti na hapo tutaendelea kudandia tu wenzetu wenye ngozi NYEUSI waliopo ULAYA.
Nawasilisha..
Yaliandikwa wapi mkuu??..na kilichoandikwa ni nini??Mtu mweusi ni mtu wa tofauti na mwenye uwezo mkubwa sana kwenye kila idara duniani ila tu yote yanayoendelea yalishaandikwa na kutabiriwa...! Hivyo hatuwezi kubadili chochote mpka hapo Muda utakapofika...!
hahahahaaaaKweli kabisa mkuu..angalia Wakenya wanavyojikombakomba kwa Obama,ni as if anauwezo wa kuwatatulia matatizo yao yote
Sijakuelewa mleta mada, ulitaka waafrika washabikie Croatia au?
Kwenye suala la ushabiki kila mtu ana vigezo vyake vya kushabikia. Kama ameamua kushabikia kwa ajili ya rangi, kiwango kizuri cha kucheza n.k,
Usilazimishie watu mawazo mkuu.
Kina Kimpembe waache kucheza ndombolo!
Kama unapenda mpira, halafu hujaangalia, utadhani ulikuwa unajua Ufaransa watabeba Kombe... NI UJINGA KUTOANGALIA.... wale wale waliokuwepo kwenye kombe la dunia, ndo utawakuta kwenye ligi mbalimbali, ambazo PENGINE huwa unaangaliaMambo ya kujipendekeza tu
Binafsi sjaangalia hata mech moja ya World Cup.
Kina Kimpembe waache kucheza ndombolo! Soukouss ulaya wanasema ni kwa ajili ya waafrika, mwafrika haachi asili yake. Hawa ni sampo tu, ambaye hajishughulishi na kucheza na kuimba miziki ya afrika na ni mweusi ni Mbappe na Kante.Over the Weekend,timu ya soka ya ufaransa imetrend kwa kuchukuwa kombe la dunia baada ya miaka 20 kupita,walivyofanya hivyo mnamo mwaka 1998..
Waafrika wengi wamekuwa mstari wa mbele kuiaminisha dunia kuwa watu wote weusi tunaweza,no matter unatokea bara gani..swala ambalo naliona haliko sawa..kwanini??
Sababu tu ni kwamba Wachezaji weusi wa ufaransa wote wamezaliwa ufaransa kasoro Umtiti,ambaye amezaliwa cameroon..Hawa wamekulia kwenye mazingira wezeshi na kuwa watu ambao tactically,mentally wanaact kama watu wa dunia ya kwanza..inshort hawana sifa za watu wanaopatikana africa..
Sisi waafrika bado tupo nyuma sana na sio vizuri kudandia dandia tu vitu kwa mbele,ni wakati tujitafakari mifumo yetu..serikali ipambane jamii ziondokane na njaa,kwani jamii zenye njaa hata utendaji wao kiakili unakuwa mdogo..
Pia tuchukuwe hili swala la Ufaransa kama ni kwamba wametuumbua..Angalia mfano timu ya Nigeria,almost wachezaji wote wanacheza vizuri ulaya kwa sababu wanachanganyikana na damu za kizungu,ila wakiwa wenyewe wanarudi kwenye Uafrika wao wa asili(kutokumakinika kwenye jambo unalolifanya,hata kama uwezo upo)
Naamini tunaweza kufanya makubwa sisi kama waafrika,ila pale tu ambapo mifumo yetu mbalimbali itafanywa ya kuenda na wakati..Pili serikali za kiafrika naona zipambane pia kupunguza njaa kwa jamii zake,Wananchi wakiweza kupata milo kamili tokea utotoni,tunaweza kufanya makubwa..tofauti na hapo tutaendelea kudandia tu wenzetu wenye ngozi NYEUSI waliopo ULAYA.
Nawasilisha..
Kama unapenda mpira, halafu hujaangalia, utadhani ulikuwa unajua Ufaransa watabeba Kombe... NI UJINGA KUTOANGALIA.... wale wale waliokuwepo kwenye kombe la dunia, ndo utawakuta kwenye ligi mbalimbali, ambazo PENGINE huwa unaangalia
Binafsi sipendelei mpira, sijui kwanini sina nao interest may be mazingira ya niliyokulia ya bush
Mimi kutokuangalia mpira sio UJINGA, ni maisha yangu, starehe yako sio lazma na kwangu iwe starehe, we're differ Mkuu.
Unaweza kushanga sana hata klabu za mpira sfahamu zaid ya kusikia sikia simba na yanga
Mkuu sijui hata kombe la ligi ya Tanzania kuchukua nani?, maajabu sana haya Mkuu.! Na sihitaji kujua
Nawasikia Mesi na Ronaldo kiasi fulani, ukiniletea picha ukaniambia yupi ni Mesi na yupi ni Ronaldo, ntakuaibisha kwa kutokufahamu (sio mhimu kwangu mm kufahamu hayo)
Kiukweli mm na wewe hatuko sawa katika tasnia ya mpira, mpira siuchuki wala siupend ,na ukidhani chochote kile kibaya kwangu dhidi ya mchezo utakuwa umenikosea adabu sana.
Kuna jambo umeliacha ili ufikishe ulichokusudia, eidha kwa makusudi au kutojua .... NIMESEMA KAMA UNAPENDA MMPIRA NA UKAACHA KUANGALIA... Tuzingatie matumizi ya maneno KAMA UNAPENDA MPIRABinafsi sipendelei mpira, sijui kwanini sina nao interest may be mazingira ya niliyokulia ya bush
Mimi kutokuangalia mpira sio UJINGA, ni maisha yangu, starehe yako sio lazma na kwangu iwe starehe, we're differ Mkuu.
Unaweza kushanga sana hata klabu za mpira sfahamu zaid ya kusikia sikia simba na yanga
Mkuu sijui hata kombe la ligi ya Tanzania kuchukua nani?, maajabu sana haya Mkuu.! Na sihitaji kujua
Nawasikia Mesi na Ronaldo kiasi fulani, ukiniletea picha ukaniambia yupi ni Mesi na yupi ni Ronaldo, ntakuaibisha kwa kutokufahamu (sio mhimu kwangu mm kufahamu hayo)
Kiukweli mm na wewe hatuko sawa katika tasnia ya mpira, mpira siuchuki wala siupend ,na ukidhani chochote kile kibaya kwangu dhidi ya mchezo utakuwa umenikosea adabu sana.
Duuh..umetishaBinafsi sipendelei mpira, sijui kwanini sina nao interest may be mazingira ya niliyokulia ya bush
Mimi kutokuangalia mpira sio UJINGA, ni maisha yangu, starehe yako sio lazma na kwangu iwe starehe, we're differ Mkuu.
Unaweza kushanga sana hata klabu za mpira sfahamu zaid ya kusikia sikia simba na yanga
Mkuu sijui hata kombe la ligi ya Tanzania kuchukua nani?, maajabu sana haya Mkuu.! Na sihitaji kujua
Nawasikia Mesi na Ronaldo kiasi fulani, ukiniletea picha ukaniambia yupi ni Mesi na yupi ni Ronaldo, ntakuaibisha kwa kutokufahamu (sio mhimu kwangu mm kufahamu hayo)
Kiukweli mm na wewe hatuko sawa katika tasnia ya mpira, mpira siuchuki wala siupend ,na ukidhani chochote kile kibaya kwangu dhidi ya mchezo utakuwa umenikosea adabu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahCoz wale ni nyani wenzetu
ningepata mwanaume kama huyu namgawa [emoji849]....raha ya mwanaume aupende mpira na aujue kucheza pia[emoji2]Wala tu Mkuu sipo bize ni maamuzi tu
Ni bora nikeshe huku JF kuliko nikaangalie mpira
Sina interest nao kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani na lile domo chaaaa.....ana sifa sana PogbaNje ya mada,ila Pogba linasifa asee sijapata ona!
Ni manini alikuwa anafanya walipokabidhiwa kombe?
Nakazia pia.. [emoji1] [emoji1]Watz hapa kwenye uafrika ndo ua nawakubali hawanaga kujikweza wakubali wao ni mazezeta kiroho sayona.
Namimi nakazia sisi waafrika akili hatuna
???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani na lile domo chaaaa.....ana sifa sana Pogba