Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Afadhali wewe u mkweli, sio mleta mada anataka wote wawe Croatia.Binafsi nilikuwa nashabikia croatia
Mbona akina Jay z na wengine wanaitwa African americans na hawajazaliwa wala kukulia Africa?Kuzaliwa na kukulia katika katika bara la afrika
Wachezaji wote weusi wote duniani waungane na watengeze timu moja ya taifa na kila kitu ijitegemee yenyewe na bado hata kwenye makundi hatufiki