You might be right, lazima kuwe na deterance of others from commiting atrocities when in powerMimi nadhani kuikomesha tabia hii ni kumtenda aliyekutenda au aliyewatenda wengine alipokuwa madarakani na sio kuendeleza tabia kwa wapya.
Mfano, Hichilema ahakikishe Lungu anayapata machungu kulipa aliuofanya.
Au hapa kwetu mfano CCM inaondolewa madarakani, basi wale wote walio tesa watu kwa makusudi wakitumia madaraka na uchama wao waipate fresh bila kujali ni mwanaume au mwanamke.
Hiyo inasaidia wengine wasirudie tabia hizo za kishenzi.
Ukweli mimi hawa wa hapa wamenikifu hakuna mfano. Mtu mnyenyekevu hadi anakera kama Mbowe wana mbambikia kesi kama ya ugaidi?You might be right, lazima kuwe na deterance of others from commiting atrocities when in power
is why mkiwa na madaraka watendeeni mema wapinzani wenu. Unapomfanyia mtu ubaya, akija kufanikiwa usidhani atawaacha salama. ni wachache wenye moyo wa kusamehe.Ni wazi mgombea wa upinzani nchini Zambia atatangazwa mshindi.
My concern is: Historia inatukumbusha kuwa Hichilema aliwekwa ndani na Lungu kwa kumpa kesi ya kumbambikia ya Uhaini. Mahakama ikamweka huru.
Kwa akili za Waafrika tulivyolaaniwa, huyu mteule Hichilema atafanya hayo hayo kwa Wapinzani wake Mara akiapishwa.
It is a matter of some few days to come we will witness atrocities commanded by him against opposition as we see Samia "killing" Mbowe!
Ni wazi mgombea wa upinzani nchini Zambia atatangazwa mshindi.
My concern is: Historia inatukumbusha kuwa Hichilema aliwekwa ndani na Lungu kwa kumpa kesi ya kumbambikia ya Uhaini. Mahakama ikamweka huru.
Kwa akili za Waafrika tulivyolaaniwa, huyu mteule Hichilema atafanya hayo hayo kwa Wapinzani wake Mara akiapishwa.
It is a matter of some few days to come we will witness atrocities commanded by him against opposition as we see Samia "killing" Mbowe!
trend in Africa has never changed anyway, we are speaking from history/past experienceHizo ni hisia zako tu, pengine asimfanyie kama unavofikiria na badala yake akaomba ushirikiano kwake, sababu wazambia wameiva kidemokrasia sawa na wazungu.
Oofcoz huwez kuusemea moyo Ila muda mwingne sisi waafrika tunashida Mahal, nikikumbuka mwai kibaki alivyokataa kuondka madarkan, yule wa ivory coast quattara naye hivyo hivyo aliingia kwa mbinde baada umoja was mataifa kuingilia lkn bado akafanya vilevile baada ya muda wake kumalizika akalazimisha kibaki.. du.. anything can happen Ila naenjoy Sana pale demokrasia inapochukua nafasNi wazi mgombea wa upinzani nchini Zambia atatangazwa mshindi.
My concern is: Historia inatukumbusha kuwa Hichilema aliwekwa ndani na Lungu kwa kumpa kesi ya kumbambikia ya Uhaini. Mahakama ikamweka huru.
Kwa akili za Waafrika tulivyolaaniwa, huyu mteule Hichilema atafanya hayo hayo kwa Wapinzani wake Mara akiapishwa.
It is a matter of some few days to come we will witness atrocities commanded by him against opposition as we see Samia "killing" Mbowe!
Umeandika vema sana. Bado andiko langu lina hold water in the sense kwamba, Je Hichilema ataimarisha mifumo bora ya democrasia? ... bunge, mahakama, katiba, sheria kandamizi etc etc , NGO or civil societies and the like?Mleta mada elewa kuwa duniani kote tawala za binadamu zinaandamwa na hulka za ubinafsi. Ndio asili ya binadamu. Hata nchi kama Marekani (US) inayochukuliwa kama ngome ya demokrasia iko katika mapambano ya kudumu dhidi ya hulka zinazotishia uhai wa demokrasia huko. Mfano mzuri ni jinsi nchi hiyo ilivyokabiliana na uongozi na wafuasi wa aliyekuwa Rais, Donald Trump na vuguvugu lake la MAGA la kutaka kurejesha ukuu wa watu weupe huko US.
US iliasisiwa kwa mapambano yaliyohitimishwa miaka ya 1780 na kazi kubwa ya kuunda katiba makini na kuweka mifumo na taasisi imara zilnazohakikisha nchi haiendeshwi kwa kutegemea hulka za viongozi.
Hivyo usipoteze muda wala kuwa concerned na tabia ya Rais Hichilema huko Zambia. Kuwa concerned na kama Zambia wana katiba makini, mifumo bora na taasisi imara zisizompa Rais absolute power ya kufanya kila ujinga/uovu anaojisikia kuufanya. Kama mfumo ni imara hawezi kufanya huo ujinga unaowaza. Kama sio, lolote lawezekana.
Viongozi wabaya wanapenda sana kuwa na absolute power juu ya mihimili na taasisi zote nchini. Trump alikuwa anamuonea wivu Putin, a strong leader, respected by his people na kumponda Obama. Bahati nzuri, system ya US hailei ujinga.
Afrika tunafanya kosa kubwa sana la kutegemea kupata viongozi “watakatifu” modeli ya masihi, mitume, au malaika. Halafu sisi tuwakabidhi akili zetu watuendeshee nchi kwa “busara na hekima zao”. Yaani tuishi kwa fadhila na huruma zao. Unasikia kauli kama: “ikimpendeza Rais, anaweza kuagiza mshahara uongezwe kwa asilimia ...”
Huko Afrika ya Kusini, ANC walipoingia madarakani 1994, haikuchukua muda viongozi weusi, kwa tamaa zao, wakaanza harakati za ufisadi kwa kasi ya 4G. Ironically, mfumo wa utawala ulioasisiwa na makaburu, ukawafunga breki.
Tuitazame Zambia kwa undani. Hichilema ni mtu binafsi na ubinafsi wake. Sio mtakatifu fulani. Hoja muhimu ni je, nchi inamruhusu kufanya lolote analotaka? Mfano mzuri tunao hapa kwetu - sisi tunaosubiri lini masihi atashuka kuja kututawala.