Tunapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo na maana, huko Bongo sasa ishu ni Obama moto unawaka wanajadili kwa nini Obama ambaye alitua Mbugani kutalii hakukutana na Raisi wetu, kana kwamba hilo ni jambo muhimu sana kuliko yote.
Wanashindwa kutofautisha safari ya kikazi ya Obama nchini Kenya na ile ya holiday Serengeti, by the way average IQ kwetu sub saharan Afrika ni 71 vs rest of the World 80!
Obama angekutana na "Sijaribiwi" ndiyo angefanya nini sasa?Tunapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo na maana, huko Bongo sasa ishu ni Obama moto unawaka wanajadili kwa nini Obama ambaye alitua Mbugani kutalii hakukutana na Raisi wetu, kana kwamba hilo ni jambo muhimu sana kuliko yote.
Wanashindwa kutofautisha safari ya kikazi ya Obama nchini Kenya na ile ya holiday Serengeti, by the way average IQ kwetu sub saharan Afrika ni 71 vs rest of the World 80!
Ikulu ilikua inajua taarifa ya uwepo wake ndio Maana Rais amemtumia zawadi ya Picha.Japo dah kuna kauwalakini, ngumu kumeza, a former POTUS mwenye hadhi ya Obama aingie kutalii nchi yako bila courtesy call ikulu kukutana na mkulu walau dakika 30.
kadoda11 kwenye uzi mwengine alisema walijadili biashara japo kimya kimya......hehehehe
Hapo sasa ndo ushangae, mtu amekuja kutalii, ila mpaka waziri wetu anamfuata airport, naona kama kuingilia privacy za mtu maana hakuja kiserikali yuleTunapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo na maana, huko Bongo sasa ishu ni Obama moto unawaka wanajadili kwa nini Obama ambaye alitua Mbugani kutalii hakukutana na Raisi wetu, kana kwamba hilo ni jambo muhimu sana kuliko yote.
Wanashindwa kutofautisha safari ya kikazi ya Obama nchini Kenya na ile ya holiday Serengeti, by the way average IQ kwetu sub saharan Afrika ni 71 vs rest of the World 80!
Hiyo ni kasumba ya inferiority complex; lakini niligundua licha ya kunena kwako, wewe ni mmoja ya baadhi ya watu ambao wamethiriwa na hiyo kasumba.Tunapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo na maana, huko Bongo sasa ishu ni Obama moto unawaka wanajadili kwa nini Obama ambaye alitua Mbugani kutalii hakukutana na Raisi wetu, kana kwamba hilo ni jambo muhimu sana kuliko yote.
Wanashindwa kutofautisha safari ya kikazi ya Obama nchini Kenya na ile ya holiday Serengeti, by the way average IQ kwetu sub saharan Afrika ni 71 vs rest of the World 80!
Japo dah kuna kauwalakini, ngumu kumeza, a former POTUS mwenye hadhi ya Obama aingie kutalii nchi yako bila courtesy call ikulu kukutana na mkulu walau dakika 30.
kadoda11 kwenye uzi mwengine alisema walijadili biashara japo kimya kimya......hehehehe
Wangekutana kingebadilika nini
Ulimuona Balozi wa USA TZ kwenda kumpokea Obama hapa TZ?
Balozi hawezi kumpokea maana haikua official visit.
Lakini nimetumia neno 'courtesy call', soma maana ya 'courtesy call in diplomacy'.