kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Waafrika popote walipo wanaokwerwa na wizi na uporaji wa mali zao unaofanywa na watawala wao wangefurahia wangekuwa na rais kama wa kwetu, JPM ambae kiuchumi hana mpinzani chini ya jangwa la Sahara Kwa sasa. Lakini wazungu kamwe huwa hawataki viongozi wa Africa wa aina hii.
Wazungu wanakumbatia maslahi yao tu Afrika basi bila kujali utawala Bora wala democracy za nchi hizo,
Siku yoyote ukisikia wazungu wanamyooshea kidole kiongozi wa Afrika Kwa lolote na chochote ujue kwamba kiongozi yuko sahihi Kwa hilo analolifanya kwa nchi na watu wake lakini sio sahihi kwa maslahi yao.
Mfano, Nyerere alitenda mengi mema Kwa watu wake na Africa lakini wazungu walimpenda Mandela kuliko Nyerere.
Walimpenda Moboutu, Kamuzu, ngwema lakini sio Nyerere, Kaunda, Lumumba, Nkwame, Gadaffi, Maduro, edogan, Saadam, NK.
Kelele zao ni dalili za usahihi wa kiongozi wa Africa Kwa taifa lake kiuchumi. Tusiogope.