Wazungu walikuja Afrika wakatukuta tunaishi maisha ya ajabu wakaturekebisha kwa kutupa elimu namaarifa leo tumeelimika tunawaona sii watu wazuriWazungu haohao wanaokupa misaada au wazungu gani??
Aliyekuambia wewe umeelimika ni Nani? wewe unafahamu kidogo kusoma na kuandika Tu. Wazungu waliua elimu zetu za kweli ambazo zingetutoa hapo walipotukuta. Elimu walizotupa ni za namna ya kuiba na kwenda kuficha Ulaya. Kuwapa madini yote na kuambulia mashimo.Wazungu walikuja Afrika wakatukuta tunaishi maisha ya ajabu wakaturekebisha kwa kutupa elimu namaarifa leo tumeelimika tunawaona sii watu wazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekosea angetumbuliwa, alitumwa Tu.Magufuli huyu aliepiga bei na kuhonga nyumba za serikali, Bilioni kadhaa kutoweka wizara ya ujenzi, bila kusahau kivuko cha Mv DAR ES SALAAM Kupida pesa za seikali na kuwakabidhi Wajeshi . You are having a laugh
HahahahaaIna mana sisi sio WaAfrika maana tukiskia hilo jina tunapata aleji!