Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Wewe umevuta bangi? Kwahiyo mimi nikiwa na plot ya 5 x 5 Masaki utasema Masaki ina overpopulation?
 
Kawaulize Red Indians na Aborigines
 
Wewe umevuta bangi? Kwahiyo mimi nikiwa na plot ya 5 x 5 masaki utasema Masaki ina overpopulation?
Nimetoa mfani wa Rwanda, 15% walivyo ovwepopulated haina maana kwao! Wa Masaki wa 5x5 sq m huyo mwenye 50x50 to him is irrelevant! OPinch ni ya kwake na familia yake. 15% poln haina maana kwa Rwanda! Huwezi kifanya generalization kuwa tusipunguze uzazi kwetu Rwanda, this is my point! On a continental level, kweli tuko under-populated! I concur with you!
Sasa si unaona bila matusi, we are discussing! (ingawa umweka bangi, nakusamehe)
 
Jibu swali, nikiwa na plot ya 5x5 masaki, utasema masaki ina overpopulation?
 
Jibu swali, nikiwa na plot ya 5x5 masaki, utasema masaki ina overpopulation?
Never, but to me who is under 5x5 congestion, the rest of Masaki with a lot of space means nonsense to me! Mwenye 70x70 huwezi kumwambia punguza uzazi. Wazungu wansema hivyo kwa vile trend ni hiyo , hata hizo nchi ambazo zinaimba 15% , kesho zitakuwa na 5x5! Tuweke tahadhali....
 
U
Upo sahihi. Lakini tufundisahane kuzaa watoto tunaowamudu kwa malezi. Tusifikie hatua ya kuwa na idaid kubwa ya watoto ambao tunaanza kuomba misaada ya kuwahudumia.. Mija ya sababu ya Mataifa ya Magharibi kugharimia miradi ya kupanga uzazi ni kutusaidia nchi kuwamudu wananchi wake kihuduma. Tunatembeza bakuli na wakitushauri nini cha kufanya ili tuweze kujitegemea tunaleta hoja kama hizi. Mtu inazaa watoto kumi na mbili wakipishana miaka miwili halafu unashindwa kuwapeleka shule, kuwalisha, kuwavisha na wanarudi kuwa wakora mitaani. Iko haja ya kuwaelimisha watu wetu kuwa ni haki yao kuzaa lakini idadi ya watoto watakoweza kuwahudumia - si kuwaambia wafyatue watoto tu ili mradi unaweza kuwalisha. Dunia ya leo huduma kwa mtoto si kumlisha tu, inataka apate elimu - tena elimu iliyo bora ni si bora elimu, anhitaji atibiwe matibabu bora anapougua, na malezi ya kimaadili kwa ukaribu kutoka kwa wazazi. Kuna familia baba ana watoto wengi kiasi cha wengine hawajui hata majina - mtu kama huyu atawapa saa ngapi malezi ya maadili watoto ambao hawajui hata majina sawa na madarasa yet kwenye shule zetu za bure Mwalimu anawatoto wengi kiasi cha kutowajua mmoj mmoja suala ambalo ni muhimu sana katika malezi.
Kama hatuatki kusaidiwa basi tuwe na mpango wetu wenyewe kama waafrika wa jinsi ya kudhibit kuzaliana - au kwa ufupi kuzaa watoto wasiokusudiwa. Familia zetu nyingi zinazaa watoto wa bahati mbaya - wazazi hawakukaa wakakubaliana kuwa sasa tuzae mto wa kumi na moja, weigni wanatokea kwa bahati mbaya.
 
Haya ni mawazo ya kijiwe!!!Inferiority complex.Maviongoz ya africa mabinafs ambayo ni humanless ndio yanayoua kizazi kwa njaa,magonjwa na vita.Acha mawazo mgando kusingizia wazungu!!
 
The whole point ya kukupa wewe njia za uzazi wa mpango sio kuwa tupo overpopulated, point ni kuwa uweze ku control idadi ya watoto wako utakaozaa, ukishindwa ku control idadi ya watoto utakaozaa ina maana hata maisha yako utashindwa kuya control,

Sasa mzungu anakupa means za ku control idadi ya watoto, unaanza kuwatukana eti sijui wanataka kuwamaliza, Dah mtu mweusi ni kuwaza shari tu
 
Uvivu ni uxhoga tu, fanya kazi ulishe famili, lixenge kabisa! Mapori kibao hayafanyiwi kazi, mnasubiri ajira serikalini
Bwabwa jasiri wewe! Tunazungumza kuhusu kilimo cha kisasa cha large scale farming, wewe unazungumza kuhusu mapori ya kulima kwa jembe la mkono? Are you serious! ?

Huo ndio uchumi aliokufundisha mama'ko?
 
Ni watanzania wangapi wanaweza kumudu gari la kutembelea?? Hebu zunguka huko vijijini uone kundi la watoto waliodumaa kwa unyafuzi!
 
soma post #52, anaongea ninachokisema kuwa tuwe na tahadhali na uzazi wetu! Na ndio hilo wazungu wanalolisema! Siyo kuua kizazi cha weusi! Hizo ni revelations with no concrete proof!
Achana na walichosema wengine, sema wewe, hao nitawajibu kwa nafasi yao, ongea wewe hoja yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…