kennedy joshua
Member
- Sep 24, 2014
- 54
- 34
Wakuu Poleni na pilika za maisha,nilitaka kujua endapo kuna mtu anaifaham kampuni ya kuuza Magari inaitwa SaKuraMotors nimeona gari nzuri kwao nilitaka kuiagiza lakini hawana ofisi bongo je kuna watu mmewahi kufanya na huwa jamaa biashara?ni waaminifu ?maana matapeli wamekuwa wengi..Natanguliza shukrani nikisubiri mrejesho