kennedy joshua
Member
- Sep 24, 2014
- 54
- 34
Hi kampuni ndio naisikia leoSakura hana neno kwasisi tunaomjua Sakura .ni Bora kuliko sbt....mbona gari nyingi bongo zinaletwa na Sakura tena ukizoeana nao muda mwingine unapigiwa kabla hata gari haijawekwa mtandaoni wanakushtua na picha kwenye wasap.kwakifupi hana ubaya wowote.asilimia ya kubwa madaladala mjini ye ndio kayaleta we fanya uchunguzi kwa wamiliki daladala halafu ulete mrejesho hapa
Wakuu Poleni na pilika za maisha,nilitaka kujua endapo kuna mtu anaifaham kampuni ya kuuza Magari inaitwa SaKuraMotors nimeona gari nzuri kwao nilitaka kuiagiza lakini hawana ofisi bongo je kuna watu mmewahi kufanya na huwa jamaa biashara?ni waaminifu ?maana matapeli wamekuwa wengi..Natanguliza shukrani nikisubiri mrejesho