Vodacom Client
Member
- Aug 16, 2014
- 58
- 4
Idara ya elimu msingi acheni kuwabania walimu kujiendeleza.ndugu waziri mwenye dhamana tusaidie maafisa wanatubania wakati vigezo tunavyo.kwenye kozi za muda mfupi wanaturuhusu lakini kuchukua degree wanatugomea.
swali ;Je ni hatua gani ya kufuata iwapo nimenyimwa ruhusa na vigezo nimetimeza vya kuruhusiwa?
swali ;Je ni hatua gani ya kufuata iwapo nimenyimwa ruhusa na vigezo nimetimeza vya kuruhusiwa?