Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Waajiriwa wa wadada wakazi. Unamuajiri mtu halafu unamtumikisha kama mnyama
Halafu unakuta mtoto wawatu anafanya kazi kwa moyo akikosea kitu unamuadhibu kama paka mwizi bado anavumilia .
Wanaume ukiwaona kweli hudhanii ni waaribifu wawatoto wawatu.
Mtu yupo na wadhifa anasifika kila idara ila ijioni anawinda watoto wawatu. Isitoshe ni mtu mzima amepita utu uzima.
Halafu baadaye mdada anamkataa anamuita mkewe huyu ni mwizi au lolote lile mara malaya ananitaka ilimradi tu aondoke aje mwingine.
Wamama hawanaga akili tena wale ambao wameolewa na ndoa zao kwanini lakini??
Hamjitumi na hizo akili zenu.
Mtu anaamini mamboo kwa kujipendekeza kwa watoto wao au wanaume zao .
Bila kukaa nakusema huyu ni mtoto halafu ni mdogo kweli anaweza kufanya jambo hili. Nakukaa chini nakutafakari nakutoa majibu sahihi . Itakuja siku familia itafungwa kisa ulimbukeni wa akili kisa K za wadada wakazi au kuwaona kama si wanadamu.
Akili za wa mama ni za ajabu sana eti unampiga mfanyakazi ambaye unamuachia mtoto wako na nyumba yako yeye uliyemvuruga jana jioni yote .
Amechoka kufua,kupika na kufanya nyumba yako iwe safi muda wote.
Unadhani muda wote huo hawezi mpiga huyo mtoto kama ulivyokuwa unamuadhibu au kumtumikisha usiku na wachawi wenzake ????
Sikieni cha kusikitisha 😭😭😪unamfukuza mtu saa mbili za usiku au saa sita hajui ataenda wapi wala huwazi hiloo.
Wewe ilimradi umemfukuza hujui atabakwa huko au atauwawa au atafanyiwa vitendo vya ajabu .
Hii nikerooo eti kubwa kabisaa.
Tena inanikeraa mtu unahela humpi.
Kwanini ukimchoka usimwite huyo muhusika umkabidhi mtoto kwake na nanauli yake aondoke kama alivyokuja au muweke kwenye gari na uhakikishe nigari ya kwenda kwao.
Mmeharibu sana maisha ya wasichana wengi mkiwaza ngono tu . Nashida ambazo hazina mbele wala nyuma.
Nahao wanawake wanawatoto wao ila kuwaza kuwa hata huyu nimpende kama wangu ningumu ipo siku utabakia na watoto wako basi nauone kuna ugumu wa kulea simjirekebishe?.
Unamruhusu mwanamke mwenzako aibike kisa unalinda lidudu chakavu la mumeo .
Huyo mdada ungemsomesha hata ufundi cherehani ungebarikiwa .
Mnawapiga mnawanyanyasa nakuwaona hawafai .
Nanyie wababa acheni tamaa zakijinga .
Hivi visichana kuoga havijui vizuri,kwapa usiseme ila huyo nalifimbo lako unamtishia dada wawatu tena asilimia kubwa ni mdogo.
Hajavunja ungo au hata hajatumika, na migonjwa yenu mnawaambukiza wasichana watiifu na wapenda maendeleo kisa mitamaa yenu .
Huwaoni wadada wabuku mbili??
Nyie wabaya sana.
Wamama wanaelimu za darasani ila za maisha asilimia 90 ni mijitu mibaya inaroho za paka yamefunikwa na hayo misura yao kama binadamu ila nafsi zao paka nafuu.
Utu zerooo wao ndio wanadai tunanyanyaswa ila utu hawana .
Mie nimeishia hapa.
SERIKALI NA WATU WAMASHIRIKA MBALIMBALI BINAFSI CHUKUENI HATUA KWA MAJASUSI KAMA HAYA YENYE ROHO ZA PAKA .