Waajiri wafanye ukaguzi kupitia CV za waajiriwa ili kupata watu wenye sifa za kuhudumia wananchi

Waajiri wafanye ukaguzi kupitia CV za waajiriwa ili kupata watu wenye sifa za kuhudumia wananchi

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Sisi kama Wananchi tumekuwa tukikumbana na changamoto mbalimbali kama vile kutokusikilizwa na wahudumu, kutokuhudumiwa kwa wakati, kudhalilishwa na mengineyo mengi.

Imefikia mahali mama mjanzito anajifungua salama lakini baadhi ya wauguzi wanaua watoto na kung'ofoa viungo vyao vya mwili bila huruma.

Haya yote yanasababishwa na baadhi ya wahudumu kutokuwa na ueledi pamoja na sifa za kuhudumu katika wizara mbalimbali. Hivyo basi sisi kama Wananchi tunaomba Waajiri wafanye ukaguzi wa kupitia CV za waajiriwa ili wabaki wale wenye sifa za kuhudumia wananchi.
 
Back
Top Bottom