NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 396
- 278
Katika Mzunguko wa Likizo (kipindi cha miezi 36) utastahiki siku 84 za Likizo unayolipwa ya Uzazi ikiwa utajifungua mtoto mmoja au siku 100 za Likizo unayolipwa ya Uzazi ikiwa utajifungua zaidi ya mtoto mmoja.Hivi ni kweli kupata maternity leave ni lazima mtu awe kamaliza miaka mitatu kazini???
Sheria zinasemaje ..
Maaana wife ameenda kuomba ruhusa kanyimwa na ana two years kwenye utumishi wa umma , kaaambiwa hastaili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuhh. So sad,IVI ni kweli kupata maternity leave ni lazima mtu awe kamaliza miaka mitatu kazini???
Sheria zinasemaje ..
Maaana wife ameenda kuomba ruhusa kanyimwa na ana two years kwenye utumishi wa umma , kaaambiwa hastaili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mke wako yuko serious kweli? mwambie asome standing order aache utoto!!IVI ni kweli kupata maternity leave ni lazima mtu awe kamaliza miaka mitatu kazini???
Sheria zinasemaje ..
Maaana wife ameenda kuomba ruhusa kanyimwa na ana two years kwenye utumishi wa umma , kaaambiwa hastaili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajuzi wanipe sample ya barua jamani naiadress wapi?Huyo mke wako yuko serious kweli? mwambie asome standing order aache utoto!!
https://www.policyforum-tz.org/sites/default/files/PublicServiceStandingOrders.pdf
Sio kweli.Hivi ni kweli kupata maternity leave ni lazima mtu awe kamaliza miaka mitatu kazini?
Sheria zinasemaje?
Maaana wife ameenda kuomba ruhusa kanyimwa na ana two years kwenye utumishi wa umma, kambiwa hastaili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeajiriwa juzi tu mimba tayariHivi ni kweli kupata maternity leave ni lazima mtu awe kamaliza miaka mitatu kazini?
Sheria zinasemaje?
Maaana wife ameenda kuomba ruhusa kanyimwa na ana two years kwenye utumishi wa umma, kambiwa hastaili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante zero brainKwahiyo ulikuwa unasubiria mshahara wa serikali ndo upigwe mimba pole
Lakini ukitega nakuzalisha
Mtumishi anapoajiriwa kwa Mara ya kwanza,,,anaruhusiwa kupata ujauzito baada ya kufikisha mwaka mmoja kazini,,,,yaani kuthibitishwa,,,rejea kanuni za kudumu h.12 (6) za mwaka 2019.Hivi ni kweli kupata maternity leave ni lazima mtu awe kamaliza miaka mitatu kazini?
Sheria zinasemaje?
Maaana wife ameenda kuomba ruhusa kanyimwa na ana two years kwenye utumishi wa umma, kambiwa hastaili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumishi anapoajiriwa kwa Mara ya kwanza,,,anaruhusiwa kupata ujauzito baada ya kufikisha mwaka mmoja kazini,,,,yaani kuthibitishwa,,,rejea kanuni za kudumu h.12 (6) za mwaka 2019.
Hivyo hapo mke wako hakutendewa haki,,,anatakiwa angeruhusiwa kupata likizo ya uzazi,,,na baada ya hapo anatakiwa kuzaa kila baada ya miaka 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetaja ni Kanuni ipi inayoelezea haya unayoyasema katika hiyo standing orders.Standing order inamarekebisho ya 2019?
Mi najua ni kweli hana haki mpaka afanye kazi miaka 3. Huwa busara tu inatumika.
HR wake ana roho mbaya tu.
Vipi walimpa hiyo likizo au ndo amenyimwa??Hivi ni kweli kupata maternity leave ni lazima mtu awe kamaliza miaka mitatu kazini?
Sheria zinasemaje?
Maaana wife ameenda kuomba ruhusa kanyimwa na ana two years kwenye utumishi wa umma, kambiwa hastaili.
Sent using Jamii Forums mobile app