Waalgeria watoa Kipigo kingine cha mbwa koko kwa Niger Aggrgate: 10-1

Waalgeria watoa Kipigo kingine cha mbwa koko kwa Niger Aggrgate: 10-1

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230
alggui.jpg

Aisee,,hawa Algeria wanatafuta nini bandugu!! First game kamdunda NIGER GOLI 6 kwa 1, Marudiano ya leo kamdunda GOLI 4 kwa 0 😁 dahh. very sad

NIGER 0-4 ALGERIA, FULL TIME

JUMLA YA MAGOLI KATIKA GAME 2 WALIZOKUTANA, ALGERIA 10-1 NIGER

POLENI SANA NIGER.

Mungu ibariki taifa stars, angalau 2fikie robo ya hawa desert fox 2naotegemea wata2wakilisha hukoo Qatar.

Asanteni sana bandugu, ucku mwema!
 
Wana mapafu ya mbwa hao jamaa na wanapokuwa uwanjani unafurahia jinsi wanavyohaha uwanjani kutafuta ushindi.
 
Jamaa hao kwenye vita na mende wanaenda na mabomu kabisa. Hawana huruma mpaka dakk 90 ziishe na usiposhtuka ukaziba utakula hata 100-0.
 
Hawa waarabu wanasumbua huku Afrika tu, wakikutana na wazungu huwa kama wale kondoo ya sufu, hakuna cha mapafu ya mbwa au kitimoto.

Mjerumani aripata tabu kuyafunga aya majamaa w/c, na ujerumani irikuwa katika uborawao.

2nawaombea heri wafike mbali, ndiyo watakaotuwakilisha nchini QATAR
 
Aisee,,hawa Algeria wanatafuta nini bandugu!! First game kamdunda NIGER GOLI 6 kwa 1, Marudiano ya leo kamdunda GOLI 4 kwa 0 😁 dahh. very sad

NIGER 0-4 ALGERIA, FULL TIME. AGGREGATE ALGERIA 10-1 NIGER
Hizi ni mechi za makundi, na mechi ni sita, hakuna kitu kinachoitwa aggregate. Unaweza ukafungwa nyingi na ukaongoza kundi. Aggregate hutumika kwa timu mbili tu zinazotafuta moja itakayoendelea
 
Hizi ni mechi za makundi, na mechi ni sita, hakuna kitu kinachoitwa aggregate. Unaweza ukafungwa nyingi na ukaongoza kundi. Aggregate hutumika kwa timu mbili tu zinazotafuta moja itakayoendelea

Asante ndugu kunierewesha
 
Mjerumani aripata tabu kuyafunga aya majamaa w/c, na ujerumani irikuwa katika uborawao.

2nawaombea heri wafike mbali, ndiyo watakaotuwakilisha nchini QATAR
Sio kweli, acha siasa hao wanawakilisha nchi yao Algeria. Sisi tunawakilishwa na Taifa Stars, huo ndio ukweli. Hayo mengine ni porojo tu.
 
Back
Top Bottom