Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Angalau Tz haitapigwa mengi kama Niger!Sasa Tanzania akiongoza kundi kwenye Nockout stage anakutana na hao Algeria
Hawa waarabu wanasumbua huku Afrika tu, wakikutana na wazungu huwa kama wale kondoo ya sufu, hakuna cha mapafu ya mbwa au kitimoto.Wana mapafu ya mbwa hao jamaa na wanapokuwa uwanjani unafurahia jinsi wanavyohaha uwanjani kutafuta ushindi.
Wapewe kombe la dunia kwa kumpiga NIGER goli 10?
Wana mapafu ya mbwa hao jamaa na wanapokuwa uwanjani unafurahia jinsi wanavyohaha uwanjani kutafuta ushindi.
Hawa waarabu wanasumbua huku Afrika tu, wakikutana na wazungu huwa kama wale kondoo ya sufu, hakuna cha mapafu ya mbwa au kitimoto.
Hizi ni mechi za makundi, na mechi ni sita, hakuna kitu kinachoitwa aggregate. Unaweza ukafungwa nyingi na ukaongoza kundi. Aggregate hutumika kwa timu mbili tu zinazotafuta moja itakayoendeleaAisee,,hawa Algeria wanatafuta nini bandugu!! First game kamdunda NIGER GOLI 6 kwa 1, Marudiano ya leo kamdunda GOLI 4 kwa 0 π dahh. very sad
NIGER 0-4 ALGERIA, FULL TIME. AGGREGATE ALGERIA 10-1 NIGER
Hizi ni mechi za makundi, na mechi ni sita, hakuna kitu kinachoitwa aggregate. Unaweza ukafungwa nyingi na ukaongoza kundi. Aggregate hutumika kwa timu mbili tu zinazotafuta moja itakayoendelea
Mzee unachanganya madesa hatari! Umekunywa nini? CAF champions league ndia ishiriki Algeria na sio USM algers?Nimepitiwa ndugu,,,nikajuwa caf champions League π
Sio kweli, acha siasa hao wanawakilisha nchi yao Algeria. Sisi tunawakilishwa na Taifa Stars, huo ndio ukweli. Hayo mengine ni porojo tu.Mjerumani aripata tabu kuyafunga aya majamaa w/c, na ujerumani irikuwa katika uborawao.
2nawaombea heri wafike mbali, ndiyo watakaotuwakilisha nchini QATAR