Wanafunz wa UD jana ndo kwanza wamejaza form za kuchagua mikoa wanayoipendekeza kufanyia kaz.
wote si wamejaza dsm arusha na mwanza?
Wataajiriwa moja kwa moja na muda wizara inawapangia mikoa waliowahi kujaza hizo fomu. Ila priority ni vijijini so mnaotaka Mbeya, Mwanza, Dar, Arusha imekula kwenu