ma**la wataweza wapi hawa?hawajiamini hata kiduchu!
waalimu.wengi haswa wa primary ni waoga shauri ya elimu duniMara nyingi waalimu wamekuwa wakilalamika kuonewa katika stahili zao. Kuna wakati walijitutumua kudai kwa msimamo wa nchi nzima. Lakini kwa aibu waliishia kurushiana viatu, mawe, viti wakajisambalatisha kabla ya kusambalatishwa! Nawaambia hivi mkiwa na madai halali komaeni "mzungumze na serikali" kama walivyofanya madaktari.
hawa walimu noma msiwaone hivi nyie wenyewe mmeshuhudia upupu uliotokea mtihani wa darasa la saba na form four..inabidi serikali iwasikilize la sivyo huko mbele sekta ya elimu itakufa kabisa.....
mgomo wa kimyakimya hauwasaidii maana maslahi hayabadiliki na wanaofeli ni watoto wa walala hoi,watoto wa mafisadi wanapeta tu huko st.something
Na hili litaendelea sana tu,maana wakifaulu serikali itajigamba oooh tumefanya hivi na vile sasa cha msingi nikupiga blabla classhawa walimu noma msiwaone hivi nyie wenyewe mmeshuhudia ***** uliotokea mtihani wa darasa la saba na form four..inabidi serikali iwasikilize la sivyo huko mbele sekta ya elimu itakufa kabisa.....
ma**la wataweza wapi hawa?hawajiamini hata kiduchu!
Wako kwenye mgomo wa kimyakimya usio na mwisho.Fuatilia matokeo ya mitihani upate majibu.
Tatizo walimu wengi ni 2nd hand a.k.a vilaza..
we koma. Tutake radhi.Waalimu wote primary ni CCM. What d u expect?
Kilaza babu yako, Msengenyaji wewe! Unadhani bila mwalimu ungejua kuandika ulichoandika hapo. Acha dharau kijana.
Kilaza babu yako, Msengenyaji wewe! Unadhani bila mwalimu ungejua kuandika ulichoandika hapo. Acha dharau kijana.