Kama waalimu wangepewa motisha hata ya maneno,yawezekana Wanafunzi Kidato cha 4 wangefaulu. Sasahivi hakuna Mwalimu mwenye hamu ya kufundisha.Unamkorofisha Mama-halafu unasubiri chakula cha Mchana!!Hili nalo linawapata Vigogo-Watoto wao husomea Angani!!!