Waalimu na magari

moghasa

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,084
Reaction score
1,254
Habari wana jf:

Jaman kunatetes kwamba mwalimu akiagiza gari
halipii gharama za bandari! hivyo inapita free! naombeni kujuzwa kwa undani! aksanteni
 
mfanyakazi yeyote wa gvt ukiagiza gari moja umepewa msamaha wa kodi ila kuna taratibu za kufuata
 
tujuze mkuu ili tutumie hii fursa

Gari ni lazima liwe si na zaidi ya miaka 8 halafu unasamehewa ushuru tu vat na excise duty kama ipo unalipa wewe. Kwa kipindi hiki usiagize serekali imefulia wengi wenye misamaha mizigo yao imekwama maana hazina hawatoi fedha kulipia ushuru.
 
duh.. ila hujanipa procedure za kufuata mkuu. asante in advance
 
duh.. ila hujanipa procedure za kufuata mkuu. asante in advance

Ukishapata invoice ya gari kuna form zipo tra unachukua na kuzijaza baadae unazipitisha kwa viongozi wako na kuzirudisha tra kwa kupasisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…