Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 6
Ni maswali ambayo yananitatiza kila siku, katika shule ya sekondari ya serikari ambayo ninasoma kuna utaratibu wa kuletwa waalimu ambao ni raia wa kigeni hasa marekani kuja kufundisha Wanakaa interval ya miaka miwili na kubadilisha mwingine.POINT YA MSINGI Hawa waalimu wanakuja kwa mpango upi wa kielimu? Je wanalipwa na serikari ipi? MSAADA KWENU WANAJF