Waalimu raia kigeni katika shule zetu

Second hand

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
6
Ni maswali ambayo yananitatiza kila siku, katika shule ya sekondari ya serikari ambayo ninasoma kuna utaratibu wa kuletwa waalimu ambao ni raia wa kigeni hasa marekani kuja kufundisha Wanakaa interval ya miaka miwili na kubadilisha mwingine.POINT YA MSINGI Hawa waalimu wanakuja kwa mpango upi wa kielimu? Je wanalipwa na serikari ipi? MSAADA KWENU WANAJF
 
wanajitolea ila huwa wanakuja kwa mpango maalumu wa nchi zao kwa kushirikiana na Tz chini ya wizara ya elimu hivyo basi wanalipwa na nchi zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…