Tetesi: Waalimu sasa kuanza kupigwa picha pindi wanapoingia darasani

Duuh!!Mbna Ni Mpango Wa Kizembe Sana Hivyo C Huwa Kuna Yale Madaftar Ya Walimu Kusign Kila Wanapomaliza Kufundisha.Kazi Yake Nn Au Wanatafuta Photogenic Teachers Kisha Wapewe Fani Ya Uanamitindo.[emoji34]
 
Itabidi huko wilayani ijengwe godown ya kuhifadhia hizo picha maana nina uhakika zitakuwa nyingi mno kila baada ya mwezi mmoja.
Ubunifu mwingine huu ni ujinga mtupu.
 
Kupiga picha sio dili, hebu serikali ijaribu kuboresha mishahara na kuwapa posho walimu waone kama kiwango cha ufaulu hakijaongezeka! Tuache kasumba ya kuwatia msongo wa mawazo na kuwaongezea hofu ambayo haita leta tija
 
Hapana si kweli huenda huyo mwalimu rafiki yako mhakukupa maelekezo vizuri au hukumuelewa
 
ni suala gumu kdgo..kwan tatzo ni walimu ebu mshara uboleshwe tuone mambo km ayajawa mazuri
 
Acha kihedu tuulize cc walimu wakuu ndotumepewa hvyo vi cm vya utoaji taarifa kupitia mpango wa equip....!
 
Hawa jamaa walikuwa wanasimuliana hiyo issue wakiwa kilabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…