Waalimu tarajali wa kike mnavyovyaa watoto wetu watafaulu kweli?

Waalimu tarajali wa kike mnavyovyaa watoto wetu watafaulu kweli?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Nilikua stationery hapa chuo kikuu fulani,alikuja Mwl wa kike alivyokua amevaa ile suruali ya kulalia nilihisi kuuomba upofu,hivi wanafunzi watakusikiliza kweli na wafaulu,inasikitisha sana kwa taifa linavyoenda.Wataweka hadi division8
 
We acha umbea! Kumbe ni chuo stationary mi nilidhani darasani anafundisha? Ebo!
 
kiukwel walimu wa dot com ckuhiz maadil ni zero inabida serekal ingilie kat kwan sa hv heshima hakuna tena kama zaman ilivyokuwa! .hasa kwa wale wanaotoka form six moja kwa moja kwenda university bora wanaopitia diploma kule naona kuna maadil ya kiuwalimu! Chuo kikuu maadil ya ualimu ni sifur kabisaaaa!
 
umenena ukweli asilimia 100 mkuu
 
Kwani wanavovaa hapa chuo kazini watabadili mapigo
 
We acha umbea! Kumbe ni chuo stationary mi nilidhani darasani anafundisha? Ebo!

nakuunga mkono!
mi tangu nasoma tittle nikajua labda ameenda labda shule katika ofisi ya waalimu akakuta ticha kavaa kimini labda na nguo ya ndani hana!! jamaa kabugi kweli!

mavazi yanayovaliwa vyuoni, hayapo kabisa katika mazingira ya shule ama sehemu za kufundishia!

waalimu wanaongozwa na sheria mbali mbali ambazo zinawaonya kuhusu mavazi! na si vinginevyo!

by the way, we BUMIJA, unawezaje kuthibitisha kwamba huyo ni mwalimu?

alikuonesha kitambulisho? hata kama ulikuwa duce ama muce, hutakiwi kuongea kama hujafanya utafiti!
 
Last edited by a moderator:
Usipowapa fursa utawakuta uwanja wa fisi, vichochoro vya buguruni...
Ukiwapa fursa ndo ivo...
 
Ni hapa chuo kikuu cha ualimu
 
Nguo ile kyupi ilikua inaonekana
 
Fuatilia post zote za BUMIJA UTAGUNDUA HAPO NI MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE.

Ila dogo inaonekana unafuatilia sana wanawake, sasa sijui ukienda chuo kama Tumaini si utazimia
 
Last edited by a moderator:
humans do what they wana do dnt judge else brain zamani je breasts nje ya mama,bibi na mkewe and mapaja same ,men lykwise except reproductive organs mana pale ndo respect baina ya ,we kama kava do your job kama mwalimu take ideas kama hisia popote it costs and you loose
 
Back
Top Bottom