Kuna Deo Mpya kaletwa hapo naomba muwe makini maana huyu ni Farao.Mzee ana roho mbaya sijawahi kuona.Kama unabisha utayaona.:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:ππ
yani huu ujumbe wako umenigusa sana,kweli sipo huko but kuna maafisa elimu wengine utafikiri awajawahi kuwa waalimu,mara waawtongoze wake wetu,mara wakate mishahara,wote hao ni aina ya ma DEO ------- tuu,samahani kama nakosea ila inaniuma kuona waalimu wana umia na chaki watt awaelew but et anaibuka deo anakata mshahara ili akuamishie some where alafu ale dem wako
Walimu mna kazi,halafu bado mnaendelea kumbatia madem,Oeni bwana!