Waalimu wa sekondari

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Jamani kama inavyofahamika kwamba waalimu wakiume wa sekondari huwa wanauhusiano wa kimapenzi na wanafunzi wao!,UNAFIKIRI NINI USHAURI WAKO KWA WALIMU HAWA NA WALE WATARAJIWA? Maana mi mwenyewe nasubiri post sijui nitafanyaje il hili lisinikumbe jamani mh!
 
very simple, zingatia ethics za kazi yako.
 
<br />
<br />
Kwa
sababu, ukimkiri Yesu
kwa kinywa chako ya kuwa ni
Bwana, na kuamini moyoni
mwako ya kuwa Mungu
alimfufua katika wafu,
utaokoka. Kwa kuwa, kila
atakayeliitia Jina la Bwana
ataokoka. Warumi 10:9, 13.
 
Ndugu yangu tatizo sio ualimu bali madili wapo ambao wanasoma na hawaelimiki
 
Mungu atusaidie hiyo misala isitukute.
 
Kata uume ukiona unakusumbua. Kama umeshafikia level ya ualimu na haujui kuji control, basi we utakuwa na matatizo.
 
muombe mungu akupe ujasiri wa kuepuka vishawishi ambavyo unadhani vitakufanya utembee na mwanafunzi wako maana watoto wasiku hizi kupenda dezo hawasom kisha wanajilengesha kwa waalimu wapate maksi za bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…