Ukitaka kujua haya jiulize swali hili.Kwanini waalimu wengi mara wapandapo vyeo na kua maafisa ndio huwa mstari wa mbele kunyanyasa wenzao?baada ya muda mfupi tu anasahau kuwa anapaswa kuwahudumia wengine;Hebu acheni tabia mbaya ndio maana hata hamnenepi kwa sababu ya roho ya korosh.
mada kama hizi za kugeneralize watu hazipaswi kutumwa hapa JF
umefanya utafiti ukajua ni walimu wote? je wafanyakazi wengine wanaopanda vyeo hawanyanyasi?
hebu badilisha mada yako iweke vema kama great thinker.

Kama ni ukombozi walimu wangishafika mbali sana maana asilimia kubwa ya vigogo nchi hii kuanzia urais, mawazir kote wamatapakaa walim lakini hakuna mwenye kuwakumbuka,
hili lina ukweli mkubwa sana ndan yake