Waalimu wanastahiri kulipwa Standing allowance kama Wabunge wanavyolipwa Sitting allowance

Waalimu wanastahiri kulipwa Standing allowance kama Wabunge wanavyolipwa Sitting allowance

Joined
Apr 2, 2012
Posts
1
Reaction score
0
:glasses-nerdy:
Kama waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanalipwa Sitting allowance ambayo ni tofauti na Mshahara, kwa nini Waalimu nao wasilipwe Standing allowance kwa kusimama wanapokuwa wanafundisha? Nashauri Bwana Mkoba na Oruochi muwe serious kama kweli munawajali wapiga kura wenu!
 
Back
Top Bottom