:glasses-nerdy:
Kama waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanalipwa Sitting allowance ambayo ni tofauti na Mshahara, kwa nini Waalimu nao wasilipwe Standing allowance kwa kusimama wanapokuwa wanafundisha? Nashauri Bwana Mkoba na Oruochi muwe serious kama kweli munawajali wapiga kura wenu!