nashkuru kuitika wito. wangu.najua ni jinsi gani mwajawa na vihoro kila msikiapo suala la ajira.ni wengi wamesema,wametabiri na kudanganya kabisa ooh ajira leo,mara kesho.kua na subira yumkini ulihitimu shahada/stashahada ama cheti vema bila tatizo ajira ni haki yako ewe mwalimu.ikifika siku ya ndizi kuiva,utaikwanyua tu na kuila kwa raha zako.wakusema watabaki midomo waaz