nashkuru kuitika wito. wangu.najua ni jinsi gani mwajawa na vihoro kila msikiapo suala la ajira.ni wengi wamesema,wametabiri na kudanganya kabisa ooh ajira leo,mara kesho.kua na subira yumkini ulihitimu shahada/stashahada ama cheti vema bila tatizo ajira ni haki yako ewe mwalimu.ikifika siku ya ndizi kuiva,utaikwanyua tu na kuila kwa raha zako.wakusema watabaki midomo waaz
Pitia uzi wako mara mbili,usipo gundua kosa,niambie.myakubanga nimekosea wapi ndugu?mbona kiswahili kinaeleweka?
nyanya zinapanda lakini?
nashkuru kuitika wito. Wangu.najua ni jinsi gani mwajawa na vihoro kila msikiapo suala la ajira.ni wengi wamesema,wametabiri na kudanganya kabisa ooh ajira leo,mara kesho.kua na subira yumkini ulihitimu shahada/stashahada ama cheti vema bila tatizo ajira ni haki yako ewe mwalimu.ikifika siku ya ndizi kuiva,utaikwanyua tu na kuila kwa raha zako.wakusema watabaki midomo waaz
Kijanaa unajifunzaa kuandika insha au
Ametokea mombasa nin nahs alifiliwa pand za kule
Kijanaa unajifunzaa kuandika insha au
mleta uzi ni ----- ni vema wazazi wako wakupeleke milembe
Kijanaa unajifunzaa kuandika insha au
Pitia uzi wako mara mbili,usipo gundua kosa,niambie.
Mvua kubwa zimenyesha na kupelekea zote kuoza.
😀
nimekuuliza kuhusu nyanya huenda post yangu umeipata kiusinonimia.hakuna ukengeufu juu ya lonena.sema jingine huenda ukasaidika vema sna sio kubaki kwene uchakataji tu