Waalimu wapya ambao hamjapangiwa angalien Website ya Tamisemi.

Skillionare

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
1,190
Reaction score
526
Majina ya waalim wapya yamewekwa kwenye website ya Tamisemi ila ni kwa SJUT bado hawajaweka wa diploma na certificate ambao hawajapangiwa .
 
yap, yapo ya sjut pekee vipi kwa hao wengine kuna mpango gani? au ndo mwez wa tano? kama kuna taarifa yoyote khs waliobaki naomba msaada!
 
yap, yapo ya sjut pekee vipi kwa hao wengine kuna mpango gani? au ndo mwez wa tano? kama kuna taarifa yoyote khs waliobaki naomba msaada!

hilo bado halijafahamika ila taarifa iliyopo ni ile ya awali kuwa kuanzia tarehe moja muangalie website ,hayumkini wakayaweka leo baadaye.
 
awa jamaa tamisemi awaeleweki kabisa iweje waweke majina ya chuo kimoja st.john angali swala kukosa ajira ni ya vyuo vingi sasa ayo majina mengine wataweka lini huu si usawa kabisa kama ajira ni yawalimu basi tupate wote
 
Mliobaki nanyi mtapangiwa,serikali yetu ni sikivu.Sisi wa SJUT karibia wote hawakupangiwa coz tumepawa kipaumbele.Mungu ni mwema.
 
Mwalimu wenu: ivi kak msoto wa kitaa unaujuwa or vip awajamaa wannaongeza magonjwa ya moyo wangejaribu kuchanganya majina kidogo na ayo ya st.john kitaa kugumu
 
Unachosema mcharge ni kweli kabisa.Me mwenyewe nilikuwa na wakati mgumu sana baada ya majina yetu kutokutolewa na tamisemi ile tr.15.Tuzidi tu kuwahimiza tamisemi,kitaani pagumu sana.
 
this is not fair,tamisemi muwe mnafikiria sana
 
Embu angalia juma seleman mwenda kapangiwa wap
 
Duu me mwenyew ful kupgika tang tar15 march nimeamua kujikta kwnye kilimo cha kufa na kupona TAMISEMI jaman tuangalieni
 
Nasikitika kupeleka malalamiko yangu tamisemi ambao wanaona ni kawaida kupanga watu wa chuo kimoja alafu wanaita "nyongeza ya walimu"kwl jamani,na sisi mliotuacha mtaani 2tapangiwa lini maana mmetuahidi lakn matokeo yake ndo hayo ya majina ya sjut dom,2nawaomba mtufikirie jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…