Waalimu wapya: Je kuna mazingira ya rushwa katika kuripoti?

Waalimu wapya: Je kuna mazingira ya rushwa katika kuripoti?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Kila mwaka kumekuwa na skendo nyingi juu ya kuombwa au kuandaliwa mazingira ya kutoa rushwa. Katika maeneo mengi wasichana (wanawake) wamekuwa wakiwekewa mazingira ya rushwa ya ngono, kwa waanaume ni kutoa pesa. Hayo hufanyika katika harakati za kupata shule nzuri kadiri ya mazingira.
Je wewe mwalimu uliyepata ajira mpya umewekewa mazingira ya rushwa wakati wa kuripoti??
 
Back
Top Bottom