Memeda
Member
- Mar 31, 2014
- 72
- 18
Ata ccm wakichukua urais, wajue kuw 85% ya wabunge watakuw ni UKAWA, lkn sidhani km watachukua kt cha urais, sema kuna watu watatuangusha, hawa bhana bodo wanafikra potofu eti UKAWA wakichukua urais basi mambo yataenda kombo, sio kweli, Wale wa ccm ni binadam na wa ukawa ni binadamu ila tunatak mabadiliko majona Naija wameweza.