Waambieni ukweli siyo kuwatetea kinafiki

Waambieni ukweli siyo kuwatetea kinafiki

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
2,601
Reaction score
2,058
Kwanini SHOMARI KAPOMBE na MOHAMED HUSSEIN 'SHABALALA" wameachwa katka uteuzi wa Timu ya Taifa.

Ukweli uliowazi ,unaoaminiwa na wote waliokaribu na usimamizi wa Timu ya Taifa ni KWAMBA, vijana hawa HUWA HAWAJITUMI wakiwa timu ya Taifa kama wanavyojituma wakiwa kwenye timu yao ya SIMBA.

Hili silisemi kutoka HEWANI , ni kutoka kwa mmoja wa watu MASHUHURI miongoni mwa wasimamizi wa karibu wa vijana wanapokuwa NATIONAL TEAM.

WAAMBIENI UKWELI.
 
Acha ushubwada. Wameachwa na kocha amesema hawana kiwango cha kucheza timu ya taifa. Basi!!
 
Back
Top Bottom