Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Sijasikia taarab kuhusu zile red card zilivyokuwa zinamwaga kama njugu jana.
Je bahasha zimefanya kazi yake?
Wale wale wapika tuhuma na majungu wamejikausha kama vile hawapo duniani.
Ifike wakati tuweke pembeni unazi tushughulikie tatizo la uendeshaji wa mpira wetu.
Kama mwamuzi anaharibu mpira ashughulikiwe ipasavyo.
Kama ni administator iwe hivyo hivyo.
Tunapaka matope mpira wetu bila sababu hata pale ambapo makosa ni ya kawaida ya kibinadamu au uwezo mdogo wa refa husika.