Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Sijasikia taarab kuhusu zile red card zilivyokuwa zinamwaga kama njugu jana.
Je bahasha zimefanya kazi yake?
Wale wale wapika tuhuma na majungu wamejikausha kama vile hawapo duniani.
Ifike wakati tuweke pembeni unazi tushughulikie tatizo la uendeshaji wa mpira wetu.
Kama mwamuzi anaharibu mpira ashughulikiwe ipasavyo.
Kama ni administator iwe hivyo hivyo.
Tunapaka matope mpira wetu bila sababu hata pale ambapo makosa ni ya kawaida ya kibinadamu au uwezo mdogo wa refa husika.
Vitu vya wazi wazi mnabisha bisha tu as if ni siasa za Chadema na CCM. Sisi tutaendelea kushabikia Yanga na Simba tu ndio fahari yetu.Hata kama huna akili huwezi halalisha ile penalty yenu ya mchongo dhidi ya Geita
Ukijenga Ww InatoshaVijana nguvu kazi ya taifa
Huu ni muda wa kuijenga nchi yetu.
Mchezaji Simba apewe red card weeeeeee labda ingekua wa yanga au azamIle foul mbaya Pape Sakho aliyocheza haikuonekana!?
.
It was a clear red card lakini ingekuwa ni mchezaji wa Simba kafanyiwa vile kelele za kumlalamikia mwamuzi zingekuwa nyingi
Majukumu yote mnamwachia Mama halafu mnalalamika kweli?Ukijenga Ww Inatosha
Vitu vya wazi wazi mnabisha bisha tu as if ni siasa za Chadema na CCM. Sisi tutaendelea kushabikia Yanga na Simba tu ndio fahari yetu.
.
Tutalaumu marefa lakini tunashindwa kuangalia tatizo la mpira wetu ni zaidi ya marefa.
Kweli kabisa na mashabiki wa yanga ni wakarim sana wanaenda mpaka airport kuwapokea wageni huo ni uzalendo wa hali ya juu.Siku zote mashabiki wapumbavu wako simba ndo maana unaona leo hapa jf ni kiyma kabisa kama hakuna kilichotokea kabisa.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Aiseee!! Watu wanafyagia nanyi mnachafua, mnakwama wapi!?Siku zote mashabiki wapumbavu wako simba ndo maana unaona leo hapa jf ni kiyma kabisa kama hakuna kilichotokea kabisa.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hata yeye hastahili kutukanaDaaaaah Sasa Mama'ake kaingiaje hapo? Kwa nn usimtusi yy kama Yy bila kutaja mamake?
Haya wewe leo unayo nafasi ya kuongea. Tuambie ni red card gani haikuwa sahihi jana?Sijasikia taarab kuhusu zile red card zilivyokuwa zinamwaga kama njugu jana.
Je bahasha zimefanya kazi yake?
Wale wale wapika tuhuma na majungu wamejikausha kama vile hawapo duniani.
Ifike wakati tuweke pembeni unazi tushughulikie tatizo la uendeshaji wa mpira wetu.
Kama mwamuzi anaharibu mpira ashughulikiwe ipasavyo.
Kama ni administator iwe hivyo hivyo.
Tunapaka matope mpira wetu bila sababu hata pale ambapo makosa ni ya kawaida ya kibinadamu au uwezo mdogo wa refa husika.