Waamuzi wa Tanzania mna safari ndefu kufikia ufanisi.

Waamuzi wa Tanzania mna safari ndefu kufikia ufanisi.

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Mechi ya NBC premier League inayoendelea Sasa Kati ya Ihefu na Yanga inazidi kuwaumbua jinsi uwezo wenu ulivyo chini. Baada ya Jumamosi kuwanyima Yanga goli Lao halali lililofungwa na Tuisila Kisinda, Leo Jumanne mmewazawadia goli la offside lililofungwa na Yanick Bangala.
Mwendelezo huu wa maamuzi mabovu ni yanafanya muonekane wababaishaji.
 
Nchi hii imeonekana kabsa kulazimisha hizi timu mbili kufugwa ni dhambi
 
We jamaa ni Yanga sana ila leo umewachana ukweli
 
We jamaa ni Yanga sana ila leo umewachana ukweli
Nadhani ni vema nisiwe naanzisha Uzi wowote Kwa faida yako. Asante na Kwa heri nitabaki nasoma nyuzi zako Msomi maarufu.
 
Nadhani ni vema nisiwe naanzisha Uzi wowote Kwa faida yako. Asante na Kwa heri nitabaki nasoma nyuzi zako Msomi maarufu.
Kwani hapo tatizo liko wapi ofsa?

Kukuita mshabiki wa Yanga sio tusi. Unawakosea hata mashabiki wa Yanga waonekane kama ni mashabiki ambao ni inferior, usifanye ionekane kuwa mshabiki wa Yanga sio kitu cha kujivunia bali ni jambo fulani hivi la aibu

No haiwi hivyo mkuu, just keep doin' your shit and I'll do mine, nothin' personally
 
Back
Top Bottom