Mechi ya NBC premier League inayoendelea Sasa Kati ya Ihefu na Yanga inazidi kuwaumbua jinsi uwezo wenu ulivyo chini. Baada ya Jumamosi kuwanyima Yanga goli Lao halali lililofungwa na Tuisila Kisinda, Leo Jumanne mmewazawadia goli la offside lililofungwa na Yanick Bangala.
Mwendelezo huu wa maamuzi mabovu ni yanafanya muonekane wababaishaji.